Kocha wa Man City Manuel Pellegrini na kikosi chake wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Manchester tayari kwa kuruka kuelekea Spain kucheza kipute na Barcelona, Kumbuka ni Marudiano ya UEFA Champions Ligi.
Kikosi cha Manchester City kwenye Uwanja wa Ndege tayari kwa kuruka Spain, Samir Nasri, Yaya Toure, Vincent Kompany ana Sergio Aguero wamo ndani kwenye safari hiyo kwenda Spain.
Pablo Zabaleta, Alvaro Negredo na David Silva kuongeza kasi kesho
jumatano ili waweze kupindua mabao 2-0 ambayo walifungwa wakiwa kwao
Etihad kwenye mechi ya raundi ya kwanza.
Makipa wote wawili Joe Hart na Costel Pantilimon ndani dhidi ya Barcelona.
0 comments:
Post a Comment